Tangazo la usaili

Rejea Tangazo la Kazi ya muda mfupi lililotolewa tarehe 3 Juni 2021 katika tovuti ya (www.ucc.co.tz), mbao za matangazo, na mitandao ya kijamii ya University of Dar Es Salaam Computing Centre (UCC) kwa ajili ya kutoa huduma katika Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), maarufu kama Maonesho ya Sabasaba yatakayoanza 28 Juni hadi 13 Julai 2021 kwenye viwanja vya Maonesho ya Sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa, Temeke - Dar es Salaam.
UCC inapenda kukutaarifu ya kwamba kutokana na vigezo vilivyowekwa katika

Announcement

Maombi ya kazi za muda mfupi kwa ajili ya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam

University of Dar Es Salaam Computing Centre (UCC) ilishinda zabuni ya kuunda mfumo, kusambaza vifaa na kutoa huduma ya Uendeshaji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam (DITF), maarufu kama Maoenesho ya Sabasaba yatakayoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2021 kwenye viwanja vya Maonesho ya Sabasaba vilivyovyopo barabara ya Kilwa, Temeke -  Dar es Salaam.